logo blog

Dereva Mashua / vivuko Daraja La II (Ferry/Boat Operator Grade II) - Nafasi 3

Dereva Mashua / vivuko Daraja La II (Ferry/Boat Operator Grade II) - Nafasi 3
Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)

Application Deadline: Jan 13, 2014

Position Description:
From the Guardian of 31st December 2013.
MAJUKUMU YA KAZI
Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko.
Kuchunga usalama nwa abiria na magari yaliyomo ndani ya mashualvivuko.
Kupanga abiria au magari kwenye mashualkivukoKuendesha na kuongoza mashualkivuko.
Kutunza daftari za safari ya mashualkivuko.
Kuhakikisha kwamba injini za kivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi.
Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa waliohitimu Mtihani wa Kidato cha IV, wenye Ujuzi wa kuendesha na kutunza MashualKivukouliothibitishwa na Chuo cha Dar es Salaam Marine Institute au Chuo kingine chochotekinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwilina waliofuzu mafunzo ya miezi sitaya uokoaji wa maisha majinikuogelea na kupanga watu na magari kwenye mashualvivuko.

MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGOS.A kwa mwezi


Application Instructions:
APPLICATION LEITERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE:

Secretary           
Public Service Recruitment                 
Secretariat,      
P. O. Box 63100
DAR ES SALAAM.

OR

 Katibu
Sekretarieti y aAjira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.