logo blog

JOBS IN TANZANIA: BVR KITS OPERATORS/ MWANDISHI MSAIDIZI

HALMSHAURI YA MANISPAA YA ILALA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA BVR KITS OPERATORS NA WAANDISHI WASAIDIZI KWENYE ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Afisa Mwandikishaji Manispaa ya Ilala anawatangazia wenye sifa kujitokeza kuomba nafasi ya kazi ya kuwa BVR OPERATORS AU
MWANDISHI MSAIDIZI kwenye zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga kura.

Sifa za Mwombaji
Awe ni Raia wa Tanzania
Awe ni Mkazi wa Manispaa ya Ilala
Awe anajua kusoma na kuandika
Awe na Elimu ya Sekondari na kuendelea
Awe na Elimu ya kiwango cha cheti na kuendelea ya matumizi ya Kompyuta
Awe ni Mkazi wa Kata anayoombea kufanya kazi

Jinsi ya kutuma maombi
Barua ya maombi iandikwe kwa mkono
ikiwa na anuani kamili ya mwombaji na
kuambatanishwa na vivuli ya vyeti..

Mwombaji ataje Kata anayoishi ambayo
anaombea kufanya kazi hiyo

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Barua za maombi ziwasilishwe Ofisi ya
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala (Afisa
Mwandikishaji] iliyopo katika makutano ya
Barabara ya Mission na Sokoine kwa kutumia
anuani ifuatayo;
Afisa Mwandikishaji,
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala,
-Mtaa wa Mission,
S.L.P 20950,
11883-Dar es Salaam.
N.B Siku ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe
19/06/2015 saa 9:30 alasiri.

Limetolewa na,
Isaya M.Mngurumi
Afisa Mwandikishaji Manispaa ya Ilala