logo blog

AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA CHUNYA – AUGUST, 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Chunya anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kuomba kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa nafasi zifuatazo-:

MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI III- NAFASI 2.

Sifa.
Awe na Elimu yo Kidato cha IV au VI.
Awe na Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:
Utawala, Sheria, Elimu yo Jamii, Uhasibu, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo
Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa no serikali.
Awe na umri usiopungua mioko 18 no usiozidi miaka 40
Mshahara, ngazi yo mshahara TGS B sawa no Tshs 345,000/= kwa mwezi .

 DEREVA DARAJA II NAFASI 1.
Sifa:
Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
Awe no leseni daraja"C" .
Awe na uzoefu Wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali .
Awe na cheti cha majaribio yo ufundi daraja II.
Awe na umri usiopungua .miaka 18 na usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi yo mshahara TGOS A sawa na Tshs
285,000/= kwa mwezi

Katibu Muhtasi III- NAFASI 1.

Sifa:
Awe na elimu yo kidato cha IV au VI
Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili.
Awe amefaulu masomo ya hati Mkato, Kiingereza no Kiswahili, Maneno 80 kwa dakika mojo. .
Awe amehudhuria na kufaulu mafunzo ya Computer katika chuo
chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika
Program za Windows, Microsoft Office, Internet, e.mail no Publisher .
Awe no umri usiopungua miaka 18 no usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi yo mshahara TGS B sawa no Tshs.
345,OOO/=kwa mwezi.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla:
Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyeti vya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.
Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.
Picha mojo yo rangi (Passport Size).
Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.
(e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.

Maombi yatumwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S.L.P. 73,CHUNYA.