logo blog

AJIRA HII HAPA: JE, UNA KIPAJI CHA UTANGAZAJI WA REDIO NA TELEVISION?


Mwananchi,09th Julai 2015

Je, una kipaji no taaluma ya utangazaji wa redio na television?
Wewe ni mwandishi wa habari uliyebobea katika taaluma?

Dire Media Group of Companies inatangaza nafasi za
kazi zifuatazo:
1. Watangazaji wa Televisheni (nafasi 5)
2. Watangazaji wa redio (nafasi 5)
3. Waandishi wa habari (nafasi 5)
4. Wapiga picha za video (nafasi 5)
5. Watayarishaji wa vipindi (Producers 5)

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na shahada ya kwanza .
Awe na stashahada ya uandishi wa habori na utangazaji
Wenye uzoefu watapewa kipaumbele

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Tarehe ya mwisho ya kupakea maombi ni 17/7/2015 saa 10:00 jioni
Maombi yatumwe kwa
Meneja utawala na fedha
P.O Box 105497
Dar es salaam

Barua pepe;msamautawala@gmail.com

Au ziletwe kwa njia ya mkono ofisini kwetu

Kinondoni Biafra mtaa wa Kumbukumbu

Au-piga: 0788767676