Kuitwa kwenye
usaili – halmashauri ya wilaya ya mpanda – juni 2015
Mkurugenzi
mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda anawatangazia wafuatao kuhudhuria
usaili kwa ajili ya nafasi mbalimbali zilizotangazwa katika tangazo la ajira
lenye Kumb . Na . KTV/MDC/A.40/3/31 la tarehe 13.03.2015 .