 Kutokana na tarehe 12/12/2014 kuwa siku ya mahafali katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira anawatangazia wasailiwa wote waliotakiwa kuhudhuria Usaili tarehe 12/12/2014 katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), sasa usaili utafantika tarehe 17/12/2014. HAKUNA mabadiliko ya muda na mahali pa usaili.
Tunasikitika kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. |