logo blog

Mwanasheria Mwandamizi - Shirika la Masoko ya Karikaoo

MWANASHERIA MWANDAMIZI POSITION DESCRIPTION:
From the Mwananchi Newspaper of 5th September
Shirika la Masoko ya Karikaoo ni Shirika la Umma lililoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.32 ya mwaka 1974 na kupewa majukumu ya kusimamia na kuendesha Soko Kuu la Kariakoo pamoja na Masoko mengine yatakayokuwa chini ya usimamizi wa Shirika pia kujenga Masoko mengine mapya katika Jiji la Dar es Salaam na kusimamia uendeshaji wake. Shirika linakaribisha maombi ya kazi


Masharti ya Jumla
Muombaji sharti awe raia wa Tanzania
Barua ya maombi, ikiambatishwa na wasifu binafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nne au sita, mafunzo, cheti cha kuzaliwa.
Nakala moja fiumwe kwa njia ya kawaida “hard copy’ na nyingine kwa njia ya mtandao “soft copy’ ifumwe kwa andersonshaka@yahoo.com
MENEJA MKUU
Shirika la masoko ya Kariakoo
SLP 15789
DAR ES SALAAM