logo blog

MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014 HAYA HAPA



Matokeo ya Walioomba Mafunzo Ualimu katika Vyuo vya Serikali 

Maelekezo:

Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali
ili kumsaidia muombaji kupata taarifa anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la). Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama "Elimu ya Awali", "Michezo", na "Msingi" (kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida); au"Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" (kwa waliochaguliwa kujiunga na "Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba yako ya mtihani ya kidato cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza kuona kama jina lako liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana.
Matokeo yanapatikana hapa http://www.nacte.go.tz

Matokeo haya yatapatikana kwa majeduali makubwa katika tovuti ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu na pia kwenye mbao za matangazo katika ofisi za Elimu Mikoa kuanzia kesho tarehe 4 Septemba 2014.